Beki wa Yanga, Lamine Moro
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) kupitia kwa kamati yake ya uendeshaji na usimamizi wa ligi imefanya maamuzi mbalimbali katika kikao chake kilichoketi Juni 23, mwaka huu juu ya mwenendo na matukio mbaimbali ya ligi ikiwemo mchezo wa JKT Tanzania dhidi ya Yanga, Azam FC dhidi ya Yanga na Mlale FC dhidi ya Dodoma Jiji FC.
Soma zaidi kupitia taarifa iliyotolewa jana Juni 24, 2020 na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo
Sehemu ya mwisho ya taarifa hiyo.