Header Ads Widget

MWENYEKITI WA CCM TANZANIA DKT JOHN MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUTETEA NAFASI YAKE YA URAIS


Mwenyekiti wa CCM _Tanzania Dkt John  Magufuli  leo Juni 17, 2020 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya  Urais  wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama chake cha CCM. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally asubuhi hii jijini Dodoma.
Dkt Magufuli amesema kuwa  ataanza kusaka wadhamini katika mkoa huo wa Dodoma badae katika mikoa mingine.