RC-SHIGELA APIGA MARUFUKU MADEREVA KUPIMWA CORONA KENYACORONA

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela alipotembelea mpakani Hororo kuona namna madereva wa Tanzania wanavyokumbana na adha ya kuvuka kuelekea nchini Kenya.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella amepiga marufuku madereva wa Tanzania kupimwa virusi vya ugonjwa Corona nchini Kenya mara baada ya
kupimwa nchini.

Amesema kitendo kinachoweza kuwasababishia matatizo ya upungufu wa akili na kuathiri ubongo kwa kuchokonolewa kila baada ya siku 14.

Kauli hiyo imekuja kufuatia kuwepo kwa mgogoro wa madereva, ambao wamelalamikia kupimwa nchini kwao na hatimaye kupimwa kwa mara nyingine nchini Kenya.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela alipotembelea mpakani Hororo kuona namna madereva wa Tanzania wanavyokumbana na adha ya kuvuka kuelekea nchini Kenya. 

Aidha, amesema madereva wa Kenya nao wanaweza kufanya hivyo hivyo,wakiwa na madereva nchini Tanzania ambao watapokea mzigo mpakani na kupeleka Tanzania na mahala mzigo unapokwenda.

Pia ameagiza kutengwe eneo kufunguliwe soko la nafaka katika eneo la mpakani ili wafanyabiashara wa nchini Kenya waweze kupata bidhaa mpakani hapo badala ya kuingia Tanzania na wa Tanzania waweze kupata
bidhaa mpakani hapo badala ya kuingia nchini Kenya.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela alipotembelea mpakani Hororo kuona namna madereva wa Tanzania wanavyokumbana na adha ya kuvuka kuelekea nchini Kenya. 

Aidha, amesema madereva wa Kenya nao wanaweza kufanya hivyo hivyo,
wakiwa na madereva nchini Tanzania ambao watapokea mzigo mpakani na kupeleka Tanzania na mahala mzigo unapokwenda.

Pia ameagiza kutengwe eneo kufunguliwe soko la nafaka katika eneo la mpakani ili wafanyabiashara wa nchini Kenya waweze kupata bidhaa mpakani hapo badala ya kuingia Tanzania na wa Tanzania waweze kupata
bidhaa mpakani hapo badala ya kuingia nchini Kenya.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela alipotembelea mpakani Hororo kuona namna madereva wa Tanzania wanavyokumbana na adha ya kuvuka kuelekea nchini Kenya. 

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464