
Kifo cha Mmarekani
mweusi ambaye alikamatwa na polisi akiwa hana silaha lakini polisi
alionekana kutumia nguvu kwa kumkaba shingo na hivyo suala la ubaguzi
dhidi ya jamii ndogo ya watu weusi ikaibuka.
Video ya dakika 10-ambayo ilipigwa na shuhuda inaonyesha Floyd akimlalamikia afisa wa polisi akisema " siwezi kuhema".
Video ya tukio hilo lilisambaa kwa watu siku hiyohiyo ikionyesha mwanamke wa kizungu nchini Marekani akiwa anajibizana na mwanaume mweusi kuhusu mbwa wake ambaye alikuwa amefunguliwa.
Kifo cha Floyd kimeweza kuibua hofu ya takwimu za mauaji ya polisi dhidi ya raia weusi nchini Marekani.
Utafiti uliofanywa na asasi ya isiyokuwa ya kiserikali unadai kuwa katika vurugu ya polisi watu weusi wako katika hatari ya kuuwawa mara tatu zaidi ya watu weuse.
Uonevu wa Polisi umepelekea kuwepo kwa harakati za thamani ya utu wa mtu mweusi kuepo #BlackLivesMatter movement.
Watu maarufu kama muimbaji Beyonce na mchezaji nyota wa mpira wa kikapu Lebron James wameanzisha kahamasisha kampeni hizo kwa umma.
Hawa ni baadhi ya wahanga wengi wa vifo vilivyosababishwa na maandamano dhidi ya vurugu za polisi.
https://www.bbc.com/swahili
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464