Uongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga Unapenda kutoa pole kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki na Watanzania wote kwa kuondokewa na Raisi wetu Msitaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamini William Mkapa aliyefariki usiku wa kuamkia leo.
Shinyanga press club inaungana na watamzania wote katika kipindi hiki cha Majonzi tuko pamoja na watanzania wote
Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie Mzee wetu Benjamani apumzike kwa amani
AMINA