Mgombea urais kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Dk John Magufuli amesema kuwa iwapo atarejea tena jambo la kwanza atahakikisha anajenga uwanja mkubwa jijini Dodoma.
"Kutokana na wanachama wa CCM kufurika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma ili kufuatilia uzinduzi wa Kampeni yetu wa uchaguzi hii ina nipa hamasa ya kujenga uwanja mkubwa kuliko huu na hii ndio kazi nitakayoanza nayo mkinichagua kuwa Rais. "
Mgombea huyo wa Urais wa CCM na Mwenyekiti wa chama hicho Amesema hayo wakati akifungua kampeni za chama hicho kitaifa hjijini Dodoma katika uwanja wa Jamhuri.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464