PICHA: KUAGWA KWA MIILI YA WANAFUNZI 10 WALIOFARIKI KWA AJALI YA MOTO KAGERA
Friday, September 18, 2020
Miili ya waliokuwa wanafunzi 10 wa shule ya msingi ya Byamungu Islamic Seminali waliofariki dunia kwa ajali ya moto iliyoteketeza bweni walilokuwa wamelala tayari imeletwa viwanja vya shule hiyo kwa ajili ya kuangwa na kukabidhiwa kwa ndugu zao kwa ajili ya taratibu za mazishi.