MGOMBEA URAIS DK. MAGUFULI AENDELEA KUJINADI...HIZI HAPA KAULI ZAKE AKIOMBA KURA LEO TANGA

Tanga Kunani Kule? Tanga kuna Dkt John Pombe Magufuli, Mgombea Urais wa CCM ambaye Leo Jumanne Oktoba 20 ameendelea kunadi Sera na Ilani ya CCM Kwenye Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga. Haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano huo Mkubwa kabisa wa Kampeni. Watanzania twende na Mzalendo, Mchapakazi, Mzalendo na Mlinzi wa Kweli wa Rasilimali zetu.

#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464