Nukuu za aliyoyaongea Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Oktoba 13, 2020 kutoka kwenye viwanja vya Barafu, Mburahati Jijini Dar es Salaam. Safari ya mbeba maono kukutana na wananchi kunadi Sera na Ilani bora ya maendeleo ya CCM inaendelea.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM