JPM AFUNIKA ARUSHA, AAHIDI UNUNUZI WA VICHWA 39 NA MABEHEWA 837 YA TRENI



A-Town ilisimama kumpokea Mchapakazi na Mzalendo, Mgombea Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wake mkubwa wa kampeni uliofanyika uwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Kwenye Mkutano huo wa aina yake, hizi ndizo Sera alizozinadi na kuzisema Mlinzi wa Rasilimali zetu na Kiongozi wa mfano wa dunia Dkt John Pombe Magufuli.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM


Ununuzi wa vichwa 39 vya treni, mabehewa 800 ya mizigo na 37 ya abiria ni moja ya ahadi alizozitoa leo Dkt. John Magufuli katika mkutano wake jijini Arusha
 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464