JPM ATEMA CHECHE KARATU, AMFAGILIA DK. SLAA, ASEMA ALIKUWA MTU MAKINI NA MZALENDO


MAGUFULI DAY: Yaliyojiri na Aliyoyaongea Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kutoka Wilayani Karatu Mkoani Arusha Kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni wa Kunadi Sera za CCM na Kuomba Kura kwa Wananchi wa Karatu. Karatu wanasema sasa imetosha na wako tayari kwa mabadiliko ya kweli kuichagua Wagombea wote wa CCM.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM 









Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Karatu katika mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika katika viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha leo tarehe 24 Oktoba 2020.Wananchi wa Karatu wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya mnadani Karatu mkoani Arusha wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 24 Oktoba 2020.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464