Kelvin John maarufu kama Mbappe
Na Shinyanga Press Club Blog
Kocha Mpya wa timu ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes, Jamhuri Kihwelo 'Julio' leo ametangaza majina 52 ya wachezaji watakaoingia kambini kujiandaa na michezo mbalimbali ya timu hiyo.
Julio ametaja majina hayo leo Oktoba 23, 2020, ambapo mshambuliaji kinda wa kimataifa wa Tanzania ambaye yuko kwenye kituo cha timu ya Leicester City ya Uingereza, Kelvin John 'Mbappe' ni miongoni mwa waliojumuishwa pamoja na wachezaji mbalimbali wanaocheza Ligi Kuu Bara (VPL).
Kikosi cha wachezaji 52 kilichotangazwa leo
Kocha wa timu hiyo, Jamhuri Kihwelo 'Julio'