Habari picha. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea Kunadi Sera na Ilani ya CCM Kwenye Mkutano wake wa Mwisho Mkoa wa Dar es Salaam Kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe. Haya ndiyo Aliyoyaongea Kwenye Mkutano huo wa Kufungua Awamu ya 6 na ya mwisho ya Kampeni za CCM.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM