Mgombea Mwenza wa
Kiti cha Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan Leo Oktoba 15, 2020
ameunguruma Wilayani Chunya Mkoani Mbeya Kwenye Mwendelezo wa Mikutano
ya Kampeni ya Kunadi Sera na Ilani bora na ya Maendeleo ya CCM. Mama
anaongea na Watanzania kutoa kura Zote kwa CCM na kuacha kabisa
kuchanganya mambo kuchagua wapinga maendeleo.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM