MAMA SAMIA: TUTAJENGA HOSPITALI 98, TANZANIA YA VIWANDA IKO PALE PALE


Kutoka Mkoani Rukwa. Aliyoyaongea Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan Kwenye Mkutano wake wa Kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Uliofanyika Kwenye Mji wa Namanyele Uliopo Wilayani Nkasi Mkoani Katavi. 
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464