MGOMBEA URAIS DK. MAGUFULI KESHO KUKIWASHA MOSHI MJINI

 

Awamu ya 6 na ya Mwisho ya Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Zinaendelea kurindima na baada ya  Pwani na Tanga, Sasa Kesho Mitambo ya Ushindi inahamia Moshi. Ni Kesho Jumatano Oktoba 21, 2020 ataunguruma Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro. Twende na JPM, Kiongozi Mpole na Mchapakazi.

#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464