Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Marehemu Dkt. Paul Marealle
Rais wa TFF Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu na wadau wa soka kutokana na kifo cha Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho hilo Dkt. Paul Marealle kilichotokea jana usiku. Mpaka anafariki Dkt. Marealle pia alikuwa Mwenyekiti Kamati ya Tiba ya TFF
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464