MSAADA WA MATIBABU YA MTOTO

 

Mama mzazi wa mtoto huyo, Happnes Juma Kweji

Mwanamke Happnes Juma Kweji mkazi wa Ndala manispaa ya Shinyanga.

Anaomba msaada wa matibabu ya mtoto wake, wa miezi 10 ambaye anasumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa moyo. Mdomo wa ndani, pamoja na jicho.

Kwa yeyote atakae guswa awasiliane na Happnes Juma Kweji

Kwa Simu namba; 0769475521.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464