Umati wa watu waliojitokeza katika uwanja wa Tanganyika Packers jimbo la Kawe Jijini Dar es Salaam leo kusikiliza sera za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye mkutano wa mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk. John Pombe Magufuli
Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Tanganyika Packers Vilivyopo Kawe kwenye Mkutano Mkubwa wa Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Viwanja vimejaa na Vinaendelea Kupendezeshwa na Sera nzuri za CCM zinazonogeshwa pia na Kazi za Sanaa za Wasanii wetu Wakiongozwa na Diamond Platnumz, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine wengi.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM