PICHA: BAADHI YA MATUKIO MKUTANO WA DK. MAGUFULI WILAYANI HAI



Yanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Boma, Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ambako Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli amefanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni. Hai wanasema walikosea sana na Sasa wamejifunza na hawataki tena kufanya Makosa. Watatoa kura Zote Kwa CCM kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM













Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464