Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea tena leo Oktoba 19 kukutana na Wananchi kunadi Sera adhimu za CCM na ameshafanya Mikutano mingi Sana kuanzia Mkutano Mkubwa wa Bagamoyo na Yote aliyosimama njiani Kusalimia mamia ya Watanzania waliosimama njiani Kumlaki na Kumsalimia. Haya ndiyo Yaliyojiri kwenye Mikutano yote ya Leo ya Mgombea huyo wa Urais wa CCM. Shujaa wa Afrika, Mbeba maono, Mchamungu, Mtetezi wa Rasilimali za Taifa na Rais wa Wote na Wanyonge.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM