Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwa bungeni leo
Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa amethibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya kupata kura 350 kati ya kura 350 zilizopigwa sawa na asilimia 100. Majaliwa anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili (2020-2025).
Wabunge wakimpongeza KassimMajaliwa baada ya kudhibitishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa awamu ya pili
Picha na Millardayo.com