Etienne Ndayiragije
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha wa timu ya Taifa “Taifa Stars” Etienne Ndayiragije.
Taarifa ya TFF imeeleza kuwa mbadala wa Etienne atatangazwa baada ya taratibu za kumpata kukamilika.