PICHA: SIMBA SC YAWASILI KINSHASA KUWAKABILI AS VITAL

Kikosi cha timu ya Simba SC na wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa kimefika salama jijini Kinshasa, DR Congo kwa ajili ya mchezo wake wa hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa (CCL) dhidi ya AS Vital utakaopigwa Februari 12, mwaka huu (Picha na Simba SC)













Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464