TAZAMA MAJINA YA NYOTA 27 WALIOITWA TAIFA STARS



KOCHA wa Taifa Stars, Kim Poulsen, leo Mei 28, 2021 ameitisha mkutano na wanahabari ili kutaja kikosi kitakachoingia kambini Juni 5, 2021 kujiandaa na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Malawi.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464