Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Jumamosi Juni 19,2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Tanzania Bara ambapo amewabadilisha vituo vya kazi baadhi, ameingiza sura mpya na kuwarudisha waliowahi kushika nafasi hizo.
Mkoa wa Arusha (1).
Sophia Edward Mjema kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
Eng. Richard Henry Ruyango kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.
Raymond Stephen Mangwala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro.
Nurdin Hassan Babu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido.
Frank James Mwaisumbe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli.
Abbas Juma Kayanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu.
Mkoa wa Dar es Salaam (2).
.Godwin Crydon Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
Ng’wilabuza Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala.
Jokate Urban Mwegelo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
Fatma Almas Nyangasa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.
Kherry Denis James kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
Mkoa wa Dodoma (3).
Gift Isaya Msuya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chamwino.
Jabir Mussa Shekimweri kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.
Simon Kemori Chacha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba.
Khamis Athumani Mkanachi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kondoa.
Mwanahamisi A. Munkunda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi.
Josephat Paul Maganga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa.
Remedius Mwema Emmanuel kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.
Mkoa wa Geita (4).
Said Juma Nkumba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe.
Eng. Charles Francis Kabeho kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe.
Jamuhuri David William kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale.
Wilson Samwel Shimo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita.
Martha John Mkupasi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato.
Mkoa wa Iringa (5).
Saada Ahmed Mtambule kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi.
Peres Boniphace Magiri kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo.
Mohamed Hassan Moyo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.
Mkoa wa Kagera (6).
Kemirembe R. Lwota kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamuro.
Juliet Banyula Nkebanyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe.
Toba Alnason Nguvila kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba.
Rashid Mwaimu Mohamed kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa.
Moses Joseph Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba.
Col. Mathias Julius Kahabi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara.
Col. W.C. Sakullo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misenyi.
Mkoa wa Katavi (7).
Filberto Hassan Sanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele.
Jamila Yusuph Kimaro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda.
Onesmo Mpuya Buswelu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika.
Mkoa wa Kigoma (8).
Ester Alexander Mahawe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma.
P 8608 Col. I. A. Mwakisu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu.
Col. E. M. Malasa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko.
Hanafi Hassan Msabaha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza.
Col. Michael Masala Nyayalina kuwa Mkuu wa Wilaya ya Buhingwe.
P 8310 Col. A. J. Magwaza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo.
Mkoa wa Kilimanjaro (9).
Thomas Cornel Apson kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha.
Said Mtanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi.
Abdallah Mussa Mwaipaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga.
Col. H. M. Maiga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo.
Juma Said Irando kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai.
Edward Jonas Mpogolo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same.
Mkoa wa Lindi (10).
Hashim Abdallah Komba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea.
Hassan Nassor Ngoma kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa.
Judith Martin Nguli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale.
Shaibu Issa Ndemanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi.
Zainab Rashid Mfaume Kawawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa.
Mkoa wa Manyara (11).
Lazaro Jacob Twange kuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati.
Sezaria Venneranda Makota kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu.
Janeth Peter Mayanja kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang
Mbaraka Alhaji Batenga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kiteto.
Dkt. Suleiman Hassan Serera kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.
Mkoa wa Mara (12).
Juma Issa Chikoka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rorya.
Dkt. Vicent Mashinji kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti.
Joshua Samwel Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda.
Mwl. Moses Rudovick Kaegele kuwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama.
Lt. Col. Michael Mangwela Mtenjele kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime.
Dkt. Halfan Haule kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma.
Mkoa wa Mbeya (13).
Mayeka Simon Mayeka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya.
SACP. Ismail Twahir Mlawa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyela.
Dkt. Rashid Chuachua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya.
Dkt. Vicent Naano Anney kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe.
Reuben Ndiza Mfune kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali.
Mkoa wa Morogoro (14).
Jabir Omary Makame kuwa Mkuu wa Wilaya ya Gairo.
Hanji Yusuph Godigodi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero.
Halima Habib Okash kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero.
Albert Msando kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro.
Ngollo Ng’waniduhu Malenya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga.
Majid Hemed Mwanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa.
Mathayo Francis Masele kuwa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi.
Mkoa wa Mtwara (15).
Mwangi Rajab Kundya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Newala.
Mariam Khatib Chaurembo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu.
Dunstan Dominick Kyobya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara.
Claudia Undalusyega Kitta kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi.
Col. Patrick K. Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba.
Mkoa wa Mwanza (16).
Hassan Elias Massalla kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela.
Johari Mussa Samizi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba.
Senyi Simon Ngaga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema.
Amina Makilagi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana.
Salum Hamis Kalli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu.
Col. Denis Filangali Mwila kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe.
Veronika Arbogast Kessy kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi.
Mkoa wa Njombe (17).
Kisa Gwakisa Kasongwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe.
Andrea Axwesso Tsere kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa.
Lauter John Kanoni kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe.
Juma Samwel Sweda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete.
Mkoa wa Pwani (18).
Zainab Abdallah Issah kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.
Khadija Nassir Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga.
P 10699 Capt. Gowelle kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji.
Martin Stephen Ntemo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia.
Sara Ally Msafiri kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha.
Nickson Simon John kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
P 8189 Col. Ahmed A. A kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti.
Mkoa wa Rukwa (19).
.Sebastian Muungano Waryuba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga.
Peter Ambrose Lijuakali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi.
Tano Seif Mwera kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo.
Mkoa wa Ruvuma (20).
Julius Keneth Ningu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo.
Aziza Ally Mangosango kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga.
P 8819 Col. L. E Thomas kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa.
Julius Sunday Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru.
Polotet Kamando Mgema kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea.
Mkoa wa Shinyanga (21).
Joseph Modest Mkude kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kishapu.
Jasinta Venant Mboneko kuwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga.
Festo Kiswaga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama.
Mkoa wa Simiyu (22).
Gabriel Zakaria Olemegili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Busega.
Aswege Enock Kaminyoge kuwa Mkuu wa Wilaya ya Maswa.
Dkt. Charles Mhina kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi
Fauzia Hamidu Ngatumbura kuwa Mkuu wa Wilaya ya Meatu.
Faiza Suleiman Salim kuwa Mkuu wa Wilaya ya Itilima.
Mkoa wa Singida (23).
Sophia Mfaume Kizigo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama.
Rahabu Jackson Mwagisa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni.
Paskasi Damian Murangili kuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida.
Jerry Cornel Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi.
Kenan Laban Kihongozi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba.
Mkoa wa Songwe (24).
Simon Peter Simalenga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe.
Anna Jerome Gidarya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje.
Cosmas Isuna Nshenye kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi.
Fack Raphael Lulandala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba.
Mkoa wa Tabora (25).
ACP. Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega.
Matiko Paul Chacha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaliua.
Sauda Salum Mtondoo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga.
John Ernest Pallingo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sikonge.
Dkt. Yahya Ismail Nawanda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora.
Louis Peter Bura kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo.
Kisare Matiku Makori kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui.
Mkoa wa Tanga (26).
Hashim Shaibu Mgandilwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga.
Halima Abdallah Bulembo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza.
P 8576 Col. M. H Surumbu kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga.
Ghaibu Buller Lingo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani.
Siriel Mchembe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni.
Basilla Kalubha Mwanukuzi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe.
Abel Yeji Busalama kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi.
Kalist Lazaro Bukhay kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto.
Wakuu wa Wilaya wateule wataapishwa kuanzia tarehe 21 mwezi huu saa nne asubuhi na Wakuu wa mikoa yao.