Nembo ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)
Na Shinyanga Press Club Blog
JUMLA ya wanafamilia watano wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 7, mwaka huu.
Miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu ya nafasi ya rais hadi saa 10 jioni ya leo ni Rais wa shirikisho hilo, Wallace Karia anayetetea kiti hicho pamoja na Mchambuzi wa Soka na Mtangazaji wa Redio EFM na TVE.
Soma zaidi hapa katika taarifa hiyo