WAUGUZI WADAI KULAZIMISHWA KUCHAGUA CHANJO YA CORONA AU KUPOTEZA AJIRA




Jennifer ni muuguzi aliyefungua kesi dhidi ya mfumo wa hospitali ambao unalazimisha apewe chanjo ya Covid-19 au apoteze ajira yake.
 
Houston Methodist ni hospitali ya kwanza nchini Marekani kulazimish wafanyakazi wake kuchanjwa dhidi ya virusi vya corona.


Wamarekani wengi wanaporejea kazini, maafisa wa afya ya umma nchini Marekani wanasema viwango vya chanjo na dhana potovu mitandaoni dhidi ya chanjo zinatishia juhudi za nchi kukabilia na janga la Covid- 19.






Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464