Diwani wa Kizumbi Manispaa ya Shinyanga Ruben Kitinya, akihoji hatima ya matengenezo ya Taa za Barabarani Mjini humo .kwenye kikao cha Baraza la Madiwani
Na Marco Maduhu, SHINYANGA.
DIWANI wa Kizumbi Manispaa ya Shinyanga Ruben Kitinya, amesikitishwa na ubovu wa Taa za Barabarani Mjini humo, ambapo haziwaki na kusababisha giza.
Kitinya amebainisha hayo leo, kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiwani Manispaa ya Shinyanga, wakati wa ajenda ya kuuliza maswali ya papo kwa papo.
Amesema Taa hizo zimewekwa hivi karibuni, na zilikuwa zikiupendezesha mji wa Shinyanga, lakini sasa haziwaki tena na kusababisha mji kuwa na giza.
"Nauliza ni lini Halmashauri mtazifanyie matengenezo Taa za Barabarani, ili ziwake kama zamani na kuupendezesha mji wetu," aliuliza Kitinya.
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga John Tesha, ambaye ni Mkuu wa idara maendeleo ya jamii, akijibu swali hilo, alisema matengezo ya Taa hizo siyo la Halmashauri lipo chini ya Mkandarasi husika.
Aidha, alisema Serikali ilishazungumza na Mkandarasi aliyeziweka Taa hizo awali, na zitafanyiwa matengenezo hivi karibuni, ambapo tayari zipo Bandarini.

Diwani wa Kizumbi Manispaa ya Shinyanga Ruben Kitinya, akihoji hatima ya matengenezo ya Taa za Barabarani Mjini humo .kwenye kikao cha Baraza la Madiwani.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga John Tesha, akijibu maswali ya Papo kwa Papo kwenye kikao cha Baraza la Madiwani.
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Ester Makune, akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani.
Madiwani wa Manispaa ya Shinyanga wakiwa kwenye kikao cha Baraza.

Na Marco Maduhu- Shinyanga.
Na Marco Maduhu- Shinyanga.