Mganga
Mkuu wa Hospitali ya Mount Meru akitoa mada kuhusu mlipuko wa virusi
vya UVIKO 19 kwenye mkutano wa wadau kuhusu masuala ya msaada wa
kisheria .
MGANGA wa Hospitali ya Mount Meru Hospitali jijini Arusha Sunday Wanyika ameeleza kuwa kufa na kuzaliwa kwa cell mara kwa mara kwa watoto ndio sababu inayopelekea watoto kutoshambuliwa na Virusi vya UVIKO 19 vinavyosababisha ugonjwa wa homa ya Mapafu.
Ametoa maelekezo hayo jijini Arusha leo wakati akitoa mada Kuhusu mlipuko wa Virusi vya UVIKO 19 kwenywe mkutano wa wadau Kuhusu masuala ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi katika kipindi cha matumizi ya lugha ya kiswahili.
Mganga huyo ameeleza kuwa hali hiyo ndio imekuwa ikisababisha watoto kutoshambuliwa n Virusi hivyo mana vinapotaka kushambulia vinakuta cell zimekufa na kuanza kuzalishwa nyingine hivyo wao wakijikuta wanakuwa sugu na kuwa na uwezo wa kupokea na kuambukiza na kuathiri watu wazima.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464