Mhandisi Manyango Barnabas Nchambi ametia nia ya kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Mhandisi Nchambi ambaye ni meneja wa wakala wa barabara mjini na vijijini (Tarura ) amechukua fomu leo amejieleza kuwa yeye ni mzaliwa wa ushetu na nia anayo ya kuwafanyia kazi wananchi kea hitaji lao la maendeleleo Kama wakimpa ridhaa ya kuongeza.
"Jimbo la Ushetu wananchi wake wanahitaji maendeleo ambao ni wafugaji na wakulima atafuata nyayo za marehemu Elias Kwandikwa ambaye alikuwa na maoni marefu na mafupi na alifundisha wananchi kuwa wazalendo"amesema Nchambi.
Nchambi amesema kuwa maeneo mengi barabara zinapitika kutokana na kuahidi za aliyekuwa mbunge Marehemu Kwandikwa na kila mwananchi anayo haki ya kufurahia maendeleo hivyo wakimpa ridhaa ya kuongeza atahakikisha maendeleo yanapatikana Kama vile viwanja vya uwekezaji,shule,vyuo,maji na nishati ya umeme.
Kareny Masasy, KAHAMA