Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kuwa Mwenyekiti wake wa Baraza la Wazee la chama hicho (Bazecha), anashikiliwa na jeshi la polisi Mjini Unguja.
Hata hivyo akizungumza kwa simu leo Oktoba 3, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Omar Nassir amesema hana taarifa za kukamatwa mwenyekiti huyo, lakini aliahidi kiongozi huyo lakini akasema anaanza kufuatilia kwenye vituo mbalimbali vya polisi.
"Ungenisaidia kujua sehemu alipokamatiwa, je watu gani waliomkamata kama ni polisi au watu wa kawaida na walikuwa wapoje, hii ingenirahisishia pa kuanzia. Lakini ngoja nianze kuuliza kwenye vituo kisha nitakwambia," amesema Kamanda Nassir.
Akizungumza na gazeti hili leo, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Endelea.................... hapa chini

SOMA ZAIDI HAPA ; CHANZO MWANANCHI
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464