Na mwandishi wetu.
Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania kama hautaathiri ushindani wa soka nchini.
Wadau hao wamewasilisha malalamiko yao kwa maandishi ndani ya tume hiyo Jumatatu ya Novemba 29, 2021 wiki hii kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa FCC, William Erio wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Aliyasema hayo alipokuwa akitangaza maadhimisho ya siku ya ushindani duniani yanayotarajiwa kufanyika Desemba 6 mwaka huu kwa upande wa Tanzania.
Mtendaji huyo alisema kama tume itakuja na tamko maalumu juu ya suala hilo baada ya kujiridhisha.
!!Bonyeza link hapa chini kwa mwendelezo wa stori!!
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464