Header Ads Widget

MNYAMA SIMBA AJILAMBIA RAMBA RAMBA IKICHUKUA UBINGWA MAPINDUZI CUP

Klabu ya Simba wamefanikiwa kunyakua kombe la Mapinduzi Cup mara baada ha kuwachapa Azam Fc kwenye mchezo ambao uliudhuliwa na Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi.


Bao pekee la Simba Sc liliwekwa kimyani na Meddie Kagere ambaye alipachika kwa mkwaju wa penati mara baada ya Sakho kuchezewa faulu ndani ya boksi.

Mchezo huo ambao ulikuwa na hisia kwa mashabiki uwanja wa Amani ulijawa na Mashabiki wengi ambao walioshuhudia mtanange huo.

 NA EMMANUEL MBATILO

 

 

Post a Comment

0 Comments