FREEMAN MBOWE AKUTANA NA SAMIA SULUHU-IKULU DAR
Raisi wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili
Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022