HATARI NYINGINE UTOAJI MIMBA VYUONI

 Wakati sheria za nchi zikikataza utoaji mimba bila sababu za kitabibu, mbinu mpya za kutekeleza uhalifu huo zinaibuka kila kukicha, huku kundi la wanafunzi wa vyuo likionekana kinara kwa vitendo hivyo, Mwananchi limebaini.

Idadi kubwa ya wanaotoa mimba, hasa wanafunzi, wanadaiwa kutumia dawa aina ya misoprostol, licha ya kuwa hiyo ni kinyume na matumizi yake halali.

Kulingana na Mkurugenzi wa Afya ya Uzazi na Mtoto katika Wizara ya Afya, Dk Ahmad Makuwani, misoprostol ziliingizwa nchini mwaka 2004 kuzuia damu inayotoka kwa mwanamke baada ya kujifungua na si kutoa mimba kama inavyotumika na wengi.
 
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464