SABABU HIZI HAPA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MVOMERO KUSIMAMISHWA KAZI

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MVOMERO ASIMAMISHWA KAZI .

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI),Mheshimiwa Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Bw.Hassan Njama ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro kulingana na taarifa hii hapa chini.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464