Mke wa Prof.Jay anena kwa mara ya kwanza ‘Watu wakakutenga, kuona hufai kwa hali yako’
Ni June 2, 2022 ambapo Mke wa Professor Jay aitwae Grace Mgonjo amefunguka kwa mara kwanza tangu auguliwe na Mumewe.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464