
Mtoto wa kiume anaweza kuuzwa kwa dola 3000 za kimarekani. Lakini biashara hii ya kusikitisha haishii hapo.
Pia uumebainika ushahidi wa watoto waliozaliwa wakiuzwa katika kliniki haramu, na watoto waliotelekezwa wakiuzwa na wafanyakazi wa afya katika hospitali ya Mama Lucy Kibaki jijini Nairobi. Usimamizi wa hospitali haukujibu madai hayo...