Katika kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kufanya kazi kwa kituo bora cha habari Kanda ya ziwa GOLD FM, watangazaji kwa kushirikiana na baadhi ya wasanii kutoka Manispaa ya Kahama wameandaa wimbo maalum kuzungumzia makubwa ambayo redio GOLD FM imefanikiwa kuyafanya katika kipindi hiki kifupi cha Mwaka mmoja tu.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464