KLABU YA WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA WAENDESHA MDAHALO NA JESHI LA POLISI KUIMARISHA MAHUSIANO

Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari mkoani Shinyanga Patrick Mabula akisoma hotuba kwenye mdahalo huo.

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

KLABU ya waandishi wa habari mkoani Shinyanga (Shinyanga Press Club - SPC), imeendesha Mdahalo wa tatu baina ya Jeshi la Polisi, ili kuendelea kuimarisha mahusiano mazuri katika utekelezaji wa majukumu yao.

Mdahalo huo ulioandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga kupitia Mradi wa Ulinzi na Usalama kwa waandishi wa habari unaotekelezwa na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa Kushirikiana na International Media Support (IMS) umefanyika leo Septemba 8,2022 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari mkoani Shinyanga Patrick Mabula, akitoa hotuba kwenye Mdahalo huo, amesema wamekuwa wakiendesha midahalo hiyo mara kwa mara ili kuimarisha mahusiano mazuri baina ya pande zote mbili hasa wanapokutana kwenye matukio.

"Lengo la Midahalo hii ni kuendelea kuimarisha mahusiano mazuri baina ya Jeshi la Polisi na Waandishi wa Habari hasa katika utekelezaji wa majukumu yetu na kufanya kazi bila kutokea misuguano na kuimarisha ulinzi kwa Waandishi," amesema Mabula.

Kwa upande wake Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga Leonard Nyandahu, amepongeza midahalo hiyo na kubainisha kuwa yapo mabadiliko makubwa ambayo yameonekana kiutendaji kazi baina ya Jeshi la Polisi na Waandishi wa Habari.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga Leonard Nyandahu akizungumza kwenye mdahalo huo.

Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari mkoani Shinyanga Patrick Mabula akisoma hotuba kwenye mdahalo huo.

Katibu wa Klabu ya waandishi wa habari Shinyanga Ally Lityawi akizungumza kwenye Mdahalo huo.

Mratibu wa Klabu ya waandishi wa Habari Shinyanga Estomine Henry akizungumza kwenye mdahalo huo.

Mratibu wa dawati la Jinsia kutoka Jeshi la Polisi wilaya ya Shinyanga Brightone Rutajama, akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Afande Milton Tandari kutoka Ofisi ya RPC akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mratibu wa Polisi Jamii wilaya ya Shinyanga Oswald Nyorobi akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mkuu wa Nidhamu kutoka Jeshi la Polisi Jeremia Kamambi akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Sajenti Secilia Kiza akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari wa ITV Frank Mshana akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari gazeti la Nipashe Marco Maduhu akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari Sam Bahari akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari/Mkurugenzi wa Malunde 1 blog Kadama Malunde akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari wa Radio Faraja Moshi Ndugulile akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari/Mkurugenzi wa Kahama Online Shija Felician akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari wa EATV Stella Ibengwe akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari Suleiman Abeid akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari Salvatory Ntandu akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari wa GOLD FM Isaack Edward akichangia mada kwenye mdahalo huo.

Mwandishi wa habari Gazeti la Mwananchi Suzy Butondo akizungumza kwenye mdahalo huo.

Mdahalo ukiendelea.

Jeshi la Polisi wakiwa kwenye mdahalo.

Jeshi la Polisi wakiwa kwenye mdahalo.

Jeshi la Polisi wakiwa kwenye mdahalo.

Mdahalo ukiendelea.

Mwandishi wa Habari wa Nipashe Marco Maduhu (kushoto)  na Kadama Malunde wa Malunde 1 blog wakiwa kwenye mdahalo.

Waandishi wa habari wakiwa kwenye mdahalo.

Picha ya pamoja ikipigwa mara baada ya kumalizika kwa mdahalo huo.

Picha ya pamoja ikipigwa mara baada ya kumalizika kwa mdahalo huo.

Picha ya pamoja ikipigwa mara baada ya kumalizika kwa mdahalo huo.

Picha zote na Marco Maduhu, Kadama Malunde, Suzy Butondo na Amos John

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464