Je, miaka 30 ijayo mwanamke wa Tanzania atakuwa na uwezo wa kujifungua wastani wa watoto wangapi?
Dar es Salaam. Je, miaka 30 ijayo mwanamke wa Tanzania atakuwa na uwezo wa kujifungua wastani wa watoto wangapi?
Swali hili najiuliza baada ya ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ kuonyesha uwezo wa kuzaa wa wanawake nchini umeshuka kwa asilimia 18 ndani ya miaka 17.

Ripoti hiyo inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeonyesha
kupungua uwezo wa kuzaa kwa wanawake kutoka wastani wa watoto sita
2004/2005 hadi 4.9 mwaka 2021.