Meneja Mkuu wa Mgodi wa Almasi Mwadui (Williamson Diamond Limited) Mhandisi Ayoub Mwenda akizungumza na Wananchi ambao ni Waathirika wa tope la Mgodi huo wa vijiji viwili vya Ng'wanholo na Nyenze Kata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu kwenye Mkutano wa hadhara.
Na Marco Maduhu, KISHAPU
MGODI wa uchimbaji madini ya Almasi (Williamson Diamond Limited) uliopo Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, umewatoa wasiwasi wananchi ambao ni waathirika wa kubomoka kwa bwawa la mgodi huo la kuhifadhia maji machafu, na kuharibu maeneo yao ikiwamo makazi kufunikwa na tope, kuwa hakuna ambaye hatolipwa fidia.

Meneja Mkuu wa Mgodi huo wa Almasi Mhandisi Ayoub Mwenda, amebainisha hayo leo Januari 10,2023 wakati akizungumza na wananchi wa vijiji vya Ng'wanholo na Nyenze Kata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu, ambao ni waathirika wa tope la Mgodi, kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Ng'wanholo.
Amesema Mgodi huo kwa sasa unasubili watalaamu wamalize kufanya tathimini, ndipo waanze utaratibu wa kuwalipwa fidia waathirika wote, na hakuna mtu ambaye hatolipwa fidia bali wote watapata haki zao kwa mujibu wa sheria.
"Malipo ya fidia yanategemea kukamilika kwa tathimini, hivyo nawaomba wananchi muwe na subira wakati zoezi la tathimini bado linaendelea, na hakuna ambaye hatolipwa fidia bali kila mtu atapata haki anayostahili," amesema Mwenda.
Aidha, amesema tangu tukio hilo la bwawa la mgodi kubomoka Novemba 7 mwaka jana, licha ya kuendelea na taratibu za tathimini ili wananchi walipwe fidia, pia wameendelea kutoa huduma zote za kibinadamu kwa waathirika ikiwamo chakula, malazi na wanafunzi kuwapatia mahitaji yote ya shule.
Nao wananchi ambao ni waathirika wa tope la mgodi huo akiwamo Elias Mabele mkazi wa kijiji cha Nyenze, na Peter Bundala mkazi wa Ng'wangholo, wamesema tangu litokee janga hilo la bwawa kubomoka, hadi leo hakuna kinachoendelea juu ya kulipwa fidia zao.
Wamesema wamekuwa wakiona watu wanapishana kwenye maeneo yao wakija kuwahoji tangu mwezi Novemba mwaka jana, lakini hadi sasa Mwezi Januari bado hawajajua hatima yao na hawana Makazi wala maeneo ya kulima, huku wakishukuru kupewa majibu juu ya hatima ya kulipwa fidia, na kuomba zoezi hilo lifanyika haraka ili wapate haki zao.

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Almas Mwadui (Williamson Diamond Limited) Mhandisi Ayoub Mwenda akizungumza na Wananchi ambao ni Waathirika wa tope la Mgodi huo wa vijiji viwili vya Ng'wanholo na NyenzeKata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu kwenye Mkutano wa hadhara.

Afisa Mahusiano Mgodi wa Almasi Mwadui (Williamson Diamond Limited) Bernard Mihayo akizungumza na Wananchi ambao ni Waathirika wa tope la Mgodi huo wa vijiji viwili vya Ng'wanholo na NyenzeKata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu kwenye Mkutano wa hadhara.
Mwananchi Maimuna Kasala akizungumza kwenye Mkutano huowa hadhara.
Mwananchi Elias Mabele akizungumza kwenye Mkutano huo wa hadhara.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Almasi Mwadui Mhandisi Ayoub Mwenda (kushoto) akiwa na Afisa Mahusiano wa Mgodi huo Bernard Mihayo kwenye Mkutano huo wa hadhara.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano huo wa hadhara.

Wananchi wa vijiji vya Ng'wanholo na Nyenze Kata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu ambao ni Waathirika wa tope la Mgodi wa Mwadui, wakiwa kwenye Mkutano huo wa hadhara.

Wananchi wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara.