Sophia Mjema
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha kwanza cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.
Kikao hicho kimemteua Sophia Edward Mjema ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anakuwa katibu wa siasa na uenezi CCM taifa akichukua nafasi na Hamidu Shaka.
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa
Daniel Chongolo - Katibu Mkuu
Anamringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa
Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha
Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa
Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni