RAID YAKUBALI MWALIKO WA MUDA MREFU KUTEMBELEA MGODI WA NORTH MARA

 


Mgodi wa Dhahabu wa North Mara  umethibitisha kwamba shirika lisilo la kiserikali la nchini Uingereza linalojishughulisha na masuala ya Haki na Binadamu na uwajibikaji katika kuleta Maendeleo (RAID), limekubali mwaliko  wa muda mrefu wa kutembelea Mgodi huo katika wiki inayoanza tarehe 30 Januari 2023.

 

Lengo kubwa la ziara hiyo ya kutembelea Mgodi itakuwa ni kuionyesha RAID miradi mingi ambayo North Mara imetekeleza kuboresha maisha ya jamii zinazotuzunguka mgodi, kuwaelewesha mazingira ya uendeshaji wa  shughuli za mgodi wa North Mara na kukutana na wadau wakuu katika kanda hiyo. North Mara na RAID pia zitajadili masuala ambayo  RAID itayabainisha na kutoa mapendekezo kwa vitendo.

 

Mgodi wa Dhahabu wa North Mara na wadau wengine wanatarajia kuwa mwenyeji  wa timu ya Watendaji wa RAID wakati wa ziara hiyo.

 

RAID accepts longstanding invitation to visit North Mara

 

Tanzania, 7 January 2023  – North Mara Gold Mine can confirm that the UK-based organisation, Rights and Accountability in Development (RAID) has accepted our longstanding invitation to visit the mine during the week commencing 30 January 2023.

 

The intention of the site visit will be to show RAID the numerous initiatives North Mara has implemented to improve the lives and livelihoods of our surrounding communities, gain contextual understanding of the operating environment at North Mara and meet with key stakeholders in the region. North Mara and RAID will also discuss RAID’s findings and methodology and pursue practical recommendations.

 

North Mara Gold Mine and other stakeholders look forward to hosting and engaging with the RAID team during the visit.

 

Barrick Enquiries

Corporate communications and
country liaison manager

Georgia Mutagahywa

+255 754 711 215

Email: georgia.mutagahywa@barrick.com

Investor and media relations

Kathy du Plessis

+44 20 7557 7738

Email: barrick@dpapr.com

Website: www.barrick.com

 


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464