Zoezi la uokoaji abiria jaribio ajali ya ndege Kahama likiendelea.
Na Marco Maduhu, KAHAMA
MAMLAKA ya viwanja vya ndege wilayani Kahama imefanya zoezi la utayari juu ya jaribio la ajali ya ndege kuwaka moto, ili kujiweka tayari kutoa huduma ya uokoaji endapo likitokea tukio la ajali ya kweli ya ndege.
Tukio hilo la utayari limefanyika leo Februari 13, 2023 jirani na viwanja vya ndege wilayani Kahama kwa kuwashwa moto mfano wa ndege iliyoungua pamoja na baadhi ya watu kuigiza kuwa wamepata ajali kweli huku magari ya Zimamoto na yawagonjwa wakipishana na kuleta taharuki kwa wananchi.
Akizungumzia tukio hilo Meneja wa uwanja wa ndege wilayani Kahama Hamza Kiyemo, amesema wamefanya tukio hilo la utayari wa jaribio la ndege kuwaka moto, ili kujiweka sawa endapo ajali ikitokea kweli wawe tayari kufanya maokozi na kuokoa maisha ya abiria.
“Kwa mujibu wa mwongozo wa uendeshaji wa viwanja vya ndege kitaifa, sheria ya anga mwaka 2006 inatutaka kufanya zoezi la uokoaji kila baada ya miaka miwili, lengo likiwa ni kupima uwezo wa taasisi, mashirika ya umma na binafsi, kutoa huduma za uokoaji pindi ndege inapopata ajali kwa kujiweka tayari,”amesema Kiyemo.
“Tukio hili la utayari linatufanya kuboresha huduma zetu pale inapoonekana kuwa dhaifu au hafifu, ili ajali ya ukweli ya ndege ikitokea tuwe tumejipanga sawa sawa kufanya huduma ya uokoaji, tunaomba radhi kwa wananchi wote ambao wameathirika kwa namna moja ama nyingine,”ameongeza.
Naye Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita, amesema tukio hilo la utayari wamejipima kuona jinsi gani walivyokamili katika kufanya maokozi hasa pale inapoweza kutokea ajali ya ndege.
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto wilayani Kahama Inspekta Edward Selemani, amesema zoezi hilo la utayari limewafanya kubaini jinsi gani
walivyojipanga kufanya maokozi hasa pale ajali ya ukweli ya ndege itakapotokea katika viwanja vya ndege wilayani humo.
Nao baadhi ya wananchi wamesema tukio hilo la utayari limewashitua, sababu walishanghaa kuona moto mkubwa umelipuka katika viwanja vya ndege huku magari ya kuzimia moto yakipishana pamoja na magari ya wagonjwa, na kuwafanya kuingiwa na hofu kuwa kuna ajari ya ndege imetokea.

Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita akizungumzia jaribio la utayari ajali ya ndege katika viwanja vya ndege wilayani kahama.
Meneja wa uwanja wa ndege wilayani Kahama Hamza Kiyemo akizungumza tukio la utayari ajali ya ndege.
Mkuu wa kikosi cha Zimamoto na uokoaji wilayani Kahama Edward Salehe akizungumza tukio hilo la utayari ajali ya ndege.
Mwananchi Mariamu Punguja akizungumzia namna walivyopatwa na taharuki tukio la utayari ajali ya ndege.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wilayani Kahama wakizima mfano wa mabaki ya ndege katika tukio hilo la utayari ajali ya ndege.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wilayani Kahama wakizima mfano wa mabaki ya ndege katika tukio hilo la utayari ajali ya ndege
Zoezi la uokoaji abiria tukio la utayari ajali ya ndege likiendelea jirani na viwanja vya ndege wilayani Kahama.

Abiria wakiomba msaada tukio la utayari ajali ya ndege wilayani Kahama.

Wananchi wakiwa eneo la tukio la utayari ajali ya ndege wilayani Kahama.