KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO SHINYANGA MJINI WAMEBATIZA WATU 17 AMBAO WAMEMKIRI YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WAO

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akibatiza watu 17 ambao wamemkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwakozi wao, kwa ubatizo wa maji mengi, Ubatizo umefanyika leo Jumamosi Februari 4, 2023.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akibatiza watu 17 ambao wamemkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwakozi wao, kwa ubatizo wa maji mengi.

Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akiendelea na ubatizo wa maji mengi.

Ubatizo

Sharti la Kuingia katika Ushirika—“Kristo ameufanya ubatizo
kuwa ishara ya kuingia katika ufalme wake wa kiroho.

kuwa sharti bayana linalopasa kutimizwa na wote wanaotaka
kutambuliwa kuwa wako chini ya mamlaka ya Baba, Mwana na
Roho Mtakatifu. ...

“Ubatizo ni tendo nyeti kabisa la kuukataa ulimwengu. Wale
waliobatizwa katika jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu,
mwanzoni kabisa mwa maisha yao ya Kikristo hutangaza hadharani kwamba wameacha kumtumikia Shetani na wamekuwa sehemu ya ukoo wa kifalme.
 
 watoto wa mfalme wa mbinguni. Wamelitii agizo lisemalo: ‘Tokeni kati yao, mkatengwe nao, ... msiguse kitu kilicho
kichafu,’ nao hutimiziwa ahadi isemayo ‘Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.’ 2 Wakorintho 6:17,18.”

Ubatizo ni njia ya kusimikwa kanisani. Kimsingi ni ahadi
ya kuingia katika Agano la Kristo linalookoa na hauna budi
kuchukuliwa kama ukaribisho nyeti, lakini wa furaha katika familia ya Mungu.

Aina ya Ubatizo—Kanisa linaamini ubatizo wa kuzamishwa
na huwapokea katika ushirika wale waliobatizwa kwa njia hiyo tu. 
 
(Tazama sura ya 14, “Imani za Msingi za Waadventista wa Sabato.”) Wale wanaokiri hali yao ya kupotea kama wenye dhambi, wakatubu dhambi zao na kuongoka kwa dhati baada ya kufundishwa vyema, wanaweza kukubaliwa kama wataridhia wa ubatizo na ushirika wa Kanisa.

Na Marco Maduhu (SDA) Shinyanga Mjini.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464