![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEisuDiq8agiWtvTUdJD5YCMiZRaa9JXqhEfl-U1EEvNbaYgnfrx5njeSM-PJRxGSLPZgBswdxfpu0rrS8904QXo3CDcryoAR43A7ULwt4Hf1xx6SQk3KXr5jVQGN6eJAgwPbwG-K0mOOzMRq6Q6PCCdLG3rL2NHhl_kChnKeLWo-Px9XohaHa6EGcoXFw/w640-h397/MAGOMI.jpg)
Tukio hilo limetokea jana Majira ya saa 4 asubuhi wakati bibi wa mtoto huyo, ambaye ni mke wa babu huyo akiwa shambani, huku mjukuu wake akiwa amekwenda shuleni, lakini baadae alirudi nyumbani na kumkuta babu yake ambaye alimnajisi na kumharibu vibaya sehemu za siri kwa kumchana na kuungana na haja kubwa.
Akisimuliza tukio hilo bibi wa mtoto huyo Mariam Kishiwa, alisema aliporudi nyumbani kutoka shambani, alimkuta mjukuu wake akiwa katika hali mbaya akamuuliza kama unaumwa akasema anaumwa sehemu za siri alipomuangalia akaona anatokwa na damu.
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO NIPASHE.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464