ASKOFU NKOLA AFARIKI DUNIA

 

ASKOFU DKT. JOHN KANONI NKOLA AFARIKI DUNIA


Aliyekuwa Askofu wa Kanisa la African Inland Church Tanzania (AICT) Dayosisi ya Shinyanga Dkt. John Kanoni Nkola amefariki dunia leo asubuhi Jumatano Mei 17,2023 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza.

R.I.P Askofu Nkola
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464