Lifti yaporomoka Dar, yajeruhi saba
Mlango wa chini kuingia kwenye lifti iliyodondoka katika jengo la ghorofa la Millenium ‘Millenium Tower’ lililopo Makumbusho, jijini Dar es Salaam.
Lifti iliyopo katika jengo la Millenium Tower, Makumbusho, imeporomika na kujeruhi watu kadhaa waliokuwa wakiitumia.
Dar es Salaam. Lifti iliyopo katika jengo la ghorofa la Millenium ‘Millenium Tower’ Makumbusho, jijini hapa, imeporomoka na kujeruhi watu saba huku chanzo kikitajwa kushindwa kuhimili uzito mkubwa kinyume na kiwango chake.
Soma hapa zaidi Chanzo